Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Balozi
wa India Nchini Tanzania, Debnath Shaw, anaye maliza muda wake wa kazi
nchini wakati alipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam kwa
ajili ya kumuaga rasmi. Picha na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Balozi wa
India nchini Tanzania, Debnath Shaw, baada ya mazungumzo yao
yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, wakati
alipofika kwa ajili ya kuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake wa kazi
nchini. Picha na OMR
EmoticonEmoticon