SHEIKH
mkuu wa Tanzania (Mufti) Shaaban Simba amefariki muda mfupi uliopita
jijini Dar es Salaam. Habari za uhakika kutoka ndani ya Baraza Kuu la
Tanzania (BAKWATA) zimeifahamisha Saluti5 kuwa Mufti amefariki katika
hospitali ya TMJ baada ya kuzidiwa na tatizo la mapafu. INNA LILLAHI WA
INNA ILAYHI RAAJI'OON
EmoticonEmoticon