BANKI YA CRDB TAWI LA WATER FRONT WATOA MISAADA KWA WATOTO WANAOLELEWA MSIMBAZI CENTER JIJINI DAR

June 16, 2015


Baadhi ya Wafanyakazi wa benki ya CRDB tawi la Water Front wakitoa misaada katika kituo cha kulelea watoto wa chini ya miaka minne(4) yatima katika kituo cha Msimbazi Chidrens Home kilichopo Msimbazi Centre jijini Dar es Salaam leo.

Crediti manaja wa Benki ya CRDB, tawi la Water front, Isaya Lyimo akimpa maelekezo Sista wa kituo cha watoto yatima cha Msimbazi Chidrens Home kilichopo Msimbazi Centre, Sista Anna Marandu mara baada ya wafanykazi wa tawi hilo kutoa msaada wa vitu mbalimbali jijini Dar es Salaam leo. kulia ni Meneja wa Tawi la Water Front Donath Shirima



Share this

Related Posts

Previous
Next Post »