Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu jijini Dar es Salaam na
kufanya mazungumzo na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya muda mfupi kabla ya
kuanza mazungumzo juu ya mzozo wa Burundi jana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Ikulu jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
ais Dkt.Jakaya
Mrisho Kikwete akizungumza na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa
Afrika Dkt.Nksazana Dlamini Zuma Ikulu jijini Dar es Salaam wakati wa
mazungumzo ya amani ya Burundi jana
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwakaribisha Ikulu marais Jackob Zuma
wa Afrika ya Kusini na Rais Yoweri Museveni wakati wa mkutano wa wakuu
wan chi za Jumuiya ya Afrika Mashariki uliohusu mazungumzo ya amani ya
Burundi jana.
Marais wakiwa katika mazungumzo ya amani ya burundi Ikulu jijini Dar es salaam jana.