Simba yaifunga Azam FC 2-1 jana

May 04, 2015

 Kikosi cha Azam FC kilichoanza leo. 
Kikosi cha Simba.
Waamuzi wa mchezo wa Simba na Azam wakiwa katika picha ya pamoja na manahodha wa timu zote kabla ya mchezo.
 Beki wa Azam FC, Shomari Kapombe akichuana na mshambuliaji wa Simba, Said Ndemla.
Himid Mao akijaribu kumzuia Said Ndemla wa Simba.
Mshambuliaji wa Simba Said Ndemla akimtoka Himid Mao.
Emmanuel Okwi akichuana na beki wa Azam FC, Aggrey Moris.
Aggrey Moris na akichuana na Emmanuel Okwi.
 Kocha wa Simba, Goran Kopunovic akitoa maelekezo kwa wachezaji wake.
Beki wa Azam FC, Agrey Moris akimiliki mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba, Emmanuel Okwi wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. 
 Mshambuliaji wa Simba, Ramadhani Singano 'Messi" akishangilia kwa staili ya aina yake baada ya kuipatia timu yake bao la pili.
Raha ya ushindi. Picha zote  na Francis Dande

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »