Asante
mungu Kwa kunipa uhai Na kipaji ambacho leo hii kina fanya naitwa Aslay
pia nakushukuru kwa kunifikisha kwenye mikono Ya mtu mwenye moyo wa
kibinaadamu. Najua kuna mengi makubwa ambayo boss wangu @mkubwafella
umenifanyia ambayo si vyema kuyataja yote kwasababu wakati wake
haujafikia ila naomba nichukue fulsa hii kukushukuru kwa
hiki ulichonifanyia leo katika sherehe Ya kusherehekea siku yangu Ya
kuzaliwa umenifanya nijione mwenye thamani kubwa duniani sikutegemea
kama leo itakuwa siku yangu ya kumbukumbu ambayo
sitoweza kuisahau hata Nije kuwa bilionea @mkubwafella asante kwa
kunipa hii zawadi ambayo mimi kama mimi sikuiwazia kabisa kama Leo
nitapata gari Na ninaushukuru uwongozi mziki Wa #mkubwanawanawe pamoja
na manager wangu @chambusso boss wangu @babutale @mhtemba na mama yangu
@sweatfella bila kuwasahau wasanii wenzangu wa @yamoto_band mungu ndie
atakaewalipa ... Nawatakia usiku mwema woote na Watu wa Dodoma Tukutane
kesho pale Matei