Mganga
Mfawidhi wa Hospitali ya wilaya ya Pangani,Mugiri Emili akisisitiza
jambo kwa Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia (CUF) Amina
Mwidau wakati akipotembelea hospitali hiyo kuwafariji wagonjwa na kugawa
zawadi mbalimbali ikiwemo sabuni,sukari ikiwemo mahitaji muhimu na
kukabidhi jengo la kupumzikia wagonjwa alilolijenga kwa gharama za
sh.milioni tano na mbunge huyo.
Mbunge
wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia (CUF) Amina Mwidau (mkoba wa
bluu) akisalimiana na wakina mama wakati alipotembelea hospitali ya
wilaya ya Pangani jana kuwaona wagonjwa kuwafariji na kugawa zawadi
mbalimbali ikiwemo sabuni,sukari pamoja na mahitaji muhimu na kukabidhi
jengo la kupumzikia wagonjwa alilolijenga kwa gharama za sh.milioni
tano na mbunge huyo.
Mbunge
wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia (CUF) Amina Mwidau akizungumza na
wakina mama waliokuwa wakisubiri huduma za matibabu kwenye hospitali ya
wilaya ya Pangani jana wakati alipotembelea hospitali ya wilaya ya
Pangani jana kuwaona wagonjwa kuwafariji na kugawa zawadi mbalimbali
ikiwemo sabuni,sukari pamoja na mahitaji muhimu na kukabidhi jengo la
kupumzikia wagonjwa alilolijenga kwa gharama za sh.milioni tano na
mbunge huyo.
Mbunge
wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia (CUF) Amina Mwidau kulia kushoto
kwake ni Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya wlaya ya Pangani,Mugiri Emili
wakielekea wodini kwa ajili ya kuwatazama wagonjwa ,kugawa zawadi
mbalimbali ikiwemo sabuni,sukari pamoja na mahitaji muhimu na kukabidhi
jengo la kupumzikia wagonjwa alilolijenga kwa gharama za sh.milioni
tano na mbunge huyo.
Katikati
ni Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga kupitia (CUF) Amina Mwidau
akitoa maelekezo namna ya ugawaji wa zawadi kwa wagonjwa wakati
alipotembelea hospitali ya wilaya ya Pangani jana kwafariji wagonjwa na
kugawa zawadi mbalimbali ikiwemo sabuni,,sukari,poda na kukabidhi jengo
la kupumzikia wagonjwa ambalo limejengwa na mbunge huyo kwa gharama za
sh.milioni tano kushoto kwake ni Mganga Mkuu wa Halmashauri ya wilaya ya
Pangani,Dennis Ngaromba.
Mbunge
wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga (CUF) Amina Mwidau akimsalima mtoto
mchanga kwenye hospitali ya wilaya ya Pangani wakati alipokuwa
akiwatembelea wagonjwa kuwajulia hali kuwapa zawadi na kukabidhi jengo
la kupumzikia hospitalini hapo lilolojengwa na mbunge huyo kwa gharama
za shilingi milioni tano.
Mbunge
wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga(CUF) Amina Mwidau akigawa zawadi kwa
mgonjwa Aisha Juma kwenye hospitali ya wilaya ya Pangani mara baada ya
kuwatembelea wagonjwa jana kuwafariji na kukabidhi jengo la kupumziki
wagonjwa hao kwenye hospitali hiyo ambalo limejengwa na mbunge huyo kwa
gharama za kiasi cha shilingi milioni tano.
Mbunge
wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga(CUF) Amina Mwidau akiwa kwenye picha ya
pamoja na wahuduma wa hospitali ya wilaya ya Pangani jana mara baada ya
kuwatembelea wagonjwa hospitalini hapo kugawa zawadi na kukabidhi jengo
la kupumzikia wagonjwa wanaokwenda kupata matibabu ambalo limejengwa na
mbunge huyo kwa gharama za kiasi cha shilingi milioni tano.
Mbunge
wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga(CUF) Amina Mwidau akimkabidhi Jengo la
kumpumzikia wagonjwa Mganga Mkuu wa Halmashauri ya wilaya ya Pangani
Dennis Ngaromba ambalo limejengwa na mbunge huyo kwa kiasi cha shilingi
milioni tano litakaotumiwa na wagonjwa wanaokwenda hospitalini hapa
kupata matibabu ,Picha na Mpiga Picha wetu,Pangani.
EmoticonEmoticon