Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Kazi na Ajira , Gaudencia
Kabaka kwenye viwanaj vya Bunge mjini Dodoma Mei 15, 2015. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akijadili jambo na Msajili wa Vyama vya Siasa
Nchini, Jaji Francis Mutungi kwenye viwanja vya Bunge Mei 15, 2015.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wabunge wa Viti Maalum, Christawaja
Mtinda (kushoto) na Christina Lissu Mughwai a(katikati) kwenye viwanja
vya Bunge mjini Dodoma Mei15, 2015
EmoticonEmoticon