Meya
wa Manispaa ya Ilala, Jerry Slaa akizungumza na wananchi wa Kata ya
Msongola, Kijiji cha Mbondole katika uzinduzi wa Ujenzi wa Zahanati
katika Kijiji hicho jijini Dar es Salaam.
Diwani
wa Kata ya Msongola, Angelina Makembeka akimshukuru Meya wa Manispaa ya
Ilala Jerry Slaa kwa kutembelea kijiji cha Mbondole jijini Dar es
Salaam.
Mwanyekiti
wa kijiji cha Mbondole akizungumza jana na wananchi wa kijiji hicho
katika uzinduzi wa Ujenzi wa Zahanati ya Mbondole.
Mhasibu
Mkuu wa Idara ya Afya wa Manispaa ya Ilala Geoffrey Massi akizungumza
na wananchi wa Kijiji cha Mbondole katika uzinduzi wa Zahanati
ya Mbondole.
Kutoka
kushoto ni Mratibu wa Kifua Kikuu, Ukoma na UKIMWI wa mkoa wa Ilala
DK. Mbarouk Seif Khaleif,katikati ni Kaimu Mganga Mkuu wa Manispaa ya
Ilala Reuben Ngalomba na Mhasibu Mkuu wa Idara ya Afya wa Manispaa ya
Ilala Geoffrey Massi wamkisikiliza kwa makini Meya wa Manispaa ya Ilala
Jerry Slaa hayupo pichani wakati akizungumza katika uzindizi wa Ujenzi
wa Zahanati katika Kijiji cha Mbondole, Kata ya Msongola, Manispaa ya
Ilala jijini Dar es Salaam.
Meya wa Manispaa ya Ilala Jerry Slaa akiwa katika picha ya pamoja na wananchi wa Kijiji cha Mbondole.
Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Mbondole, Kata ya Msongola, Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam.