Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Jakaya Kikwete anatarajia kufungua mkutano wa Kanda ya Afrika kuhusu Mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa uwazi (OGP).
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Ikulu inaeleza kuwa mkutano huo wenye kauli mbiu isemayo “Kuimarisha Utawala Bora Unaozingatia Uwajibikaji na Uwazi” utafanyika Mei 20 hadi 21, 2015 katika ukumbi wa kimataifa wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam.
Aidha, imeeleza kuwa dhumuni la mkutano huo ni kuleta ufanisi katika utekelezaji wa masuala mbalimbali ya uwajibikaji na utawala wa Serikali ili kutoa mrejesho kwa wananchi pamoja na uwazi kuhusu masuala ya ardhi.
“Kupata uzoefu wa utekelezaji wa OGP kutoka nchi wanachama katika bara la Afrika nan je ya Afrika kama vile taarifa za uwazi zinazoimarisha uwajibikaji” iliongeza taarifa hiyo.
Taarifa hiyo ilisema kuwa mkutano huo ni wa kwanza kufanyika nchini Tanzania na ni wa pili kwa Kanda ya Afrika ambapo kwa mara ya kwanza ulifanyika nchini Mombasa nchini Kenya mwaka 2013.
Mkutano huo unatarajiwa kuwa na washiriki 200 kutoka Serikalini, Asasi za kirai, Washirika wa Maendeleo wakiwemo Mawaziri kutoka ndani na nje ya nchi, Makatibu Wakuu, Wakuu wa baadhi ya Taasisi za Serikali, wawakilishi kutoka Nchi wanachana wa OGP kutoka bara la Afrika.
Washiriki wengine ni kutoka nchi za Botswana, Zambia, Uganda, Marekani, Zimbabwe pamoja na washirika wa Maendeleo kutoka Benki ya Dunia, UNDP, UNICEF, UNESCO, MCC, USAID, DFID na JICA.
MIRINDA NYEUSI AREJEA
TENA MASHUJAA BAND ...sasa bendi ina marapa watatu
A+
A-
Print
Email
Rapa Mirinda Nyeusi amerejea tena Mashujaa Band baada ya kuzitumikia
Twanga Pepeta na Malaika Band kwa vipindi tofauti.
Kwa mujibu wa matangazo ya vipeperushi vya Mashujaa Band, Mirinda
anaungana na Rogart Hegga na Daddy Diperon katika safu ya waimbaji wapya
waliojiunga na bendi hiyo hivi karibuni.
Vipeperushi vya Mashujaa vya kunadi onyesho lao la kila Ijumaa ndani ya
Mashujaa Grill & Lounge, ambavyo Saluti5 inayo nakala yake,
vinasema: “Njoo ucheze Kibega na pamoja na wanamuziki wapya Rogart
Hegga, Daddy Diperon na Mirinda Nyeusi."
Lakini hata Mirinda Nyeusi mwenyewe pia ameithibitishia Saluti5 kuwa
amerejea rasmi bendi yake za zamani.
Mirinda Nyeusi amerejea tena Mashujaa Band
Kimuziki kwa hapa nchini, safari ya Mirinda Nyeusi ambaye jina lake
halisi ni Abraham Mpoyo, ilianzia Vibration Sound mwishoni mwa miaka ya
2000 kabla haijanunuliwa na kuwa Mashujaa Musica (Mashujaa Band)
aliyoitumikia hadi mwaka 2012 na kupunguzwa kazi kutokana na kuchafuka
kwa hali ya hewa kati yake na viongozi wa bendi.
Baada ya hapo akajiunga Mirinda ambaye ni mmoja wa marapa wenye uwezo wa
hali ya juu, Twanga na kudumu nayo hadi Mei 2014 na kukumbwa tena na
balaa la kupunguzwa kazi kwa staili ile ile ya mizengwe, lakini Malaika
Band wakahitaji huduma yake na kumuongeza kwenye kikosi chao.
Kabla hajabahatika kurekodi wimbo wowote na Malaika Band akapata dili la
kwenda Uarabuni huku Malaika wakiweka wazi kuwa nafasi yake haitakuwepo
tena pindi atakaporejea Bongo.
Kurejea kwa Mirinda Nyeusi Mashujaa Band, kunafanya idadi ya marapa kuwa
watatu hiyo ikiwa ni pamoja na Ferguson na Sauti ya Radi.
Soma zaidi hapa >>: http://www.saluti5.com/2015/05/mirinda-nyeusi-arejea-tena-mashujaa.html#more
Copyright © saluti 5

EmoticonEmoticon