Viwanja
hivyo vitauzwa kwa mnada ili kuwanufaisha zaidi wananchi ambao ndiyo
wameingia mikataba na halmashauri ya Kisarawe, Pichani kulia ni
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kisarawe Bi Mwananvua
Mrindoko.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-DAR ES SALAAM) Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kisarawe Bi Mwananvua Mrindoko
akizungumza katika mkutano huo kwenye ukumbi wa Karimjee jijini Dar es
salaam, Katikati ni Adam Ng’imba Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kisarawe
na kushoto ni Cheyo Kelege Afisa Ardhi na Maliasili Kisarawe. Katikati
ni Adam Ng’imba Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kisarawe na kushoto ni
Cheyo Kelege Afisa Ardhi na Maliasili Kisarawe na kulia ni Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Kisarawe Bi Mwananvua Mrindoko wakizungumza na wanahabari kuhusu mradi huo.
Baadhi ya maofisa na wataalamu wa Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe wakiwa katika mkutano huo. Baadhi ya madiwani na wanakamati wa mradi huo wakiwa kwenye mkutano huo.
Mkutano huo ukiendelea
Kitabu kinachouelezea mradi huo
EmoticonEmoticon