Kijana
Nassib Abdul maarufu kama Diamond Plutnumz akiwasili na mpenzi wake
Zari katika Hafla iliyopewa jina “Zari All White Party” iliyofanyika
jana kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa
na waalikwa na mashabiki mbalimbali wa mwanamuziki Diamond Platnumz.
Nilifurahia sana hafla hiyo kama walivyofurahia mashabiki wengine wa
Diamond na nitamkubali siku zote kwa kazi yake nzuri anayoifanya
kimuziki akiiweka Tanzania juu katika ramani ya muziki Afrika na
Duniani “Viva Diamond, Viva Zari” Asanteni.(PICHA NA KIKOSIKAZI CHA
FULLSHANGWE KILICHOSHUHUDIA TUKIO HILO-MLIMANI CITY)
Diamon Platnumz na Zari
wakihojiwa na mtangazaji wa Clouds Media Shadee wakati walipowasili
katika ukumbi wa Mlimani City kwa ajili ya hafla kushoto ni Meneja na
msimamizi wa bendi ya Yamoto. Mkurugenzi
wa Fullshangwe kushoto Sikukubali ilibidi nipate Selfie moja na watu
wangu Matata Diamond Platnumz na Zari wakati wa hafla hiyo. Diamond Platnumz akizungumza katika hafla hiyo Diamond Platnumzakipozi kwa picha na mpenzi wake Zari. Mdau Karoline akipozi kwenye Red Carpet Sheta kulia na Ney wa Mitego wakiwa katika hafla hiyo. Kutoka
kulia ni Ritha Paulsen na Idrisa na kushoto ni Ney wa Mitego na Sheta
pamoja na wanamuziki wengine wakiwa katika hafla hiyo. Diamond Platnumzakipozi kwa picha na mashabiki wake. Mkurugenzi wa Jambo Concept Juma Pindo kushoto akijadiliana jambo na Ritha Paulsen katika hafla hiyo. Abby akihojiwa mara baada ya kuwasili katika hafla hiyo
Ilikuwa Full Burudani kwenye ukumbi wa Mlimani City.
EmoticonEmoticon