Mwanamasumbwi
Floyd Mayweather Jr. amemshinda kwa pointi mpinzani wake Mfilipino
Manny Pacquiao katika pambano la ngumi la kimataifa na kuchukua mkanda
wa dunia wa WBC kwenye pambano uliofanyika kwenye ukumbi wa MGM Grand
nchini Marekani alfajiri ya kuamkia leo pata matukio zaidi ya picha kwa
kuperuzi hapa (PICHA KWA HISANI YA MTANDAO WA http://www.telegraph.co.uk)
EmoticonEmoticon