RAIS KIKWETE AONGOZA WAOMBOLEZAJI KUAGA MWILI WA MKUU WA WILAYA YA KYERWA MAREHEMU LUTENI KANALI BENEDICT KITENGA (MSTAAFU) LEO HOSPITALI KUU YA JESHI YA LUGALO, DAR ES SALAAM

April 22, 2015

Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrishi Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (Mstaafu) aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ambaye alifariki jana asubuhi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mazishi yake yanatarajiwa kufanyika kesho huko Morogoro. KJ2 
Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (Mstaafu) aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ambaye alifariki jana asubuhi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mazishi yake yanatarajiwa kufanyika kesho huko Morogoro. KJ3 
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrishi Kikwete akifariji mjane wa marehemu baada ya kutoa heshima  zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (Mstaafu) aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ambaye alifariki jana asubuhi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mazishi yake yanatarajiwa kufanyika kesho huko Morogoro.
KJ4 
Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akifariji wana familia baada ya kutoa  heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (Mstaafu) aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ambaye alifariki jana asubuhi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mazishi yake yanatarajiwa kufanyika kesho huko Morogoro.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »