Afisa Mtendaji Mkuu wa
Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (Universal Communications Service Access
Fund – UCSAF) Eng Peter Ulanga (Katikati) akiwa na Waziri wa Sayansi na
Teknolojia Prof. Makame Mbarawa, Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka Ya
Mawasiliano Tanzania (TCRA) Prof. John Nkoma, CEO wa TTCL Dr. Kamugisha
Kazaura wakiweka sahihi mikataba ya mabilioni kupelekea mawasiliano
vijijini.
Afisa Mtendaji Mkuu WA
Mfuko WA Mawasiliano kwa Wote (Universal Communications Service Access
Fund – UCSAF) Eng Peter Ulanga (Katikati) akiwa katika picha ya pamoja
na (Kutoka Kushoto) Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Sayansi na
Teknolojia John Mngodo, Mkurugenzi mkuu WA Mamlaka Ya Mawasiliano
Tanzania Prof. John Nkoma,Waziri wa Sayansi na Teknolojia Prof. Makame
Mbarawa, (Kutoka Kulia) CEO WA TTCL Dr. Kamugisha Kazaura, mwakilishi
kutoka kampuni ya mtandao ya simu za mkononi Airtel Ronald Mitti pamoja
na wawakilishi wengine wa mitandao ya simu za mkono pamoja na
wafanyakazi wa Mfuko huo.
Afisa Mtendaji Mkuu WA
Mfuko WA Mawasiliano kwa Wote (Universal Communications Service Access
Fund – UCSAF) Eng Peter Ulanga (Kulia) akitia sahihi mikataba ya
mabilioni kupelekea mawasiliano vijijini pamoja na CEO WA TTCL Dr.
Kamugisha Kazaura.
Afisa Mtendaji Mkuu WA
Mfuko WA Mawasiliano kwa Wote (Universal Communications Service Access
Fund – UCSAF) Eng Peter Ulanga (WA pili kulia) akibidilishana mawazo na
Waziri WA Sayansi na Teknolojia Prof. Makame Mbarawa baada ya kutia
sahihi mikataba ya mabilioni kupelekea mawasiliano vijijini.
picha ya pamoja
EmoticonEmoticon