Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akimwonyesha Mwenyekiti wa Kampuni ya China Merchants, Group, Bw. Li
Xiaopeng jarida linaloonyesha fursa za uwekezaji nchi lililotolewa na
Kituo cha Uwekezaji Tanzania katika mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini
kwa Wazri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 2015. Kampuni hiyo
Inatarajiwa kuanza ujenzi wa bandari ya Bagamoyo hivi karibuni.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akiongozana na Mwenyekiti wa Kampuni ya China Merchant Group, Bw. Li
Xiaopeng (kulia) na balozi wa China nchini, Lu Youqing baada ya
mazungumzo yake na uongozi wa kampuni hiyo Ofisini kwa Waziri Mkuu
jijini Dare s salam Machi 26, 2015 . Kampuni hiyo inatarajiwa kuanza
ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo hivi karibuni.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizungumza na Mwenyekiti wa Kampuni ya China Merchants, Group, Bw. Li
Xiaopeng , Ofisini kwa Wazri Mkuu jijini Dar es salaam Machi 26, 2015.
Kampuni hiyo Inatarajiwa kuanza ujenzi wa bandari ya Bagamoyo hivi
karibuni.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiwa
katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Kampuni ya China Merchant
Group, Bw. Li Xiaopeng (kulia kwake ) pamoja na ujumbe wake na balozi
wa China nchini, Lu Youqing (kushoto kwake ,baada ya mazungumzo yake na
uongozi wa kampuni hiyo Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dare s salam
Machi 26, 2015 . Kampuni hiyo inatarajiwa kuanza ujenzi wa Bandari ya
Bagamoyo hivi karibuni.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda
akizungungumza na Mwenyekiti wa Kampuni ya China Merchant Group, Bw. Li
Xiaopeng (watatu kushoto ) pamoja na ujumbe wake na balozi wa China
nchini, Lu Youqing ( kushoto kwake) ,baada ya mazungumzo yake na uongozi
wa kampuni hiyo Ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dare s salam Machi 26,
2015 . Kampuni hiyo inatarajiwa kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo
hivi karibuni.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta
na Rais wa Burundi Pierr Nkurunzinza katika chakula cha jioni
kilichoandaliwa na Rais jakaya Kikwete , Ikulu jiji Dar es salaam Machi
25, 2015 kwa viongozi wa Jumuiya ya Afrika ya Mashariki.
(picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
EmoticonEmoticon