DK,SHEIN ATEMBELEA UJENZI WA BARABARA MATEMWE MKOA WA KASKAZINI UNGUJA

March 26, 2015

1
Rais  wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiangalia ramani ya ujenzi wa Barabara za Kiashange -Kijini-Mbuyutende na Matemwe-Muyuni Mkoa wa Kaskazini Unguja inayojengwa na Kampuni ya Pennyroyal Gibraltar Ltd ambayo inasimamia mradi wa (Amber Golf&Beach Resort) wakati alipotembelea ujenzi wa barabara leo (wa tatu kushoto) Mkurugenzi na Mmiliki wa Kampuni ya Pennyroyal Gibraltar Ltd Bw.Brian Thomson na (wapili kulia) Bi Naila Jidawi msemaji Mkuu wa Kampuni hiyo,
[Picha na Ikulu.]
2
Rais  wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Miundombinu na Mawasiliano Juma Duni Haji wakati alipofika kutembelea maendeleo  ya ujenzi wa Barabara za Kiashange -Kijini-Mbuyutende na Matemwe-Muyuni Mkoa wa Kaskazini Unguja leo inayojengwa na Kampuni ya Pennyroyal Gibraltar Ltd,
3
Rais  wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Bi Naila Jidawi msemaji Mkuu wa Kampuni Pennyroyal Gibraltar Ltd ya Mradi wa (Amber Golf&Beach Resort) wakati alipotembelea maendeleo  ya ujenzi wa Barabara za Kiashange -Kijini-Mbuyutende na Matemwe-Muyuni Mkoa wa Kaskazini Unguja leo inayojengwa na Kampuni ya Pennyroyal Gibraltar Ltd,
4
Rais  wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Wananchi wakati alipotembelea maendeleo  ya ujenzi wa Barabara za Kiashange -Kijini-Mbuyutende na Matemwe-Muyuni Mkoa wa Kaskazini Unguja leo  inayojengwa na Kampuni ya Pennyroyal Gibraltar Ltd,
5
Rais  wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akipata maelezo kutoka kwa  Mkurugenzi na Mmiliki wa Kampuni ya Pennyroyal Gibraltar Ltd Bw.Brian Thomson leo alipokuwa akiangalia ramani ya ujenzi wa Barabara za Kiashange -Kijini-Mbuyutende na Matemwe-Muyuni Mkoa wa Kaskazini Unguja inayojengwa na Kampuni hiyo ambayo inasimamia mradi wa (Amber Golf&Beach Resort),
6
Rais  wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa  Mkurugenzi na Mmiliki wa Kampuni ya Pennyroyal Gibraltar Ltd Bw.Brian Thomson alipokuwa akiangalia ramani ya ujenzi wa Barabara za Kiashange -Kijini-Mbuyutende na Matemwe-Muyuni Mkoa wa Kaskazini Unguja  leo inayojengwa na Kampuni hiyo ambayo inasimamia mradi wa  Amber Golf&Beach Resort  (kulia) Bi Naila Jidawi msemaji Mkuu wa Kampuni Pennyroyal Gibraltar Ltd (wa pili kushoto) Katibu Mkuu wa Wizara ya  Miundombinu na Mawasiliano Dk.Juma Malik Akili.
7
Rais  wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein   akizungumza na Wananchi wakati alipotembelea ujenzi wa Barabara za Kiashange -Kijini-Mbuyutende na Matemwe-Muyuni Mkoa wa Kaskazini Unguja inayojengwa na Kampuni  ya Pennyroyal Gibraltar Ltd, ambayo inasimamia mradi wa  Amber Golf&Beach Resort.
8
Katapila ya Kampuni ya Pennyroyal Gibraltar Ltd likifanya kazi ya kutawanya mlima wa mawe wakati wa ujenzi wa Barabara ya Kiashange -Kijini-Mbuyutende na Matemwe-Muyuni Mkoa wa Kaskazini Unguja inayojengwa na Kampuni hiyo ambayo inasimamia mradi wa  Amber Golf&Beach Resort Mkoani humo wakati Rais  wa  Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipofanya ziara fupi kutembelea barabara hiyo leo.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »