Waziri wa Maliasili na Utalii
Lazaro Nyalandu akiwa na Rubani wa ndege aina ya Micro Light Nyinja,
muda mfupi kabla ya kukabidhiwa ndege hiyo. Ndege hiyo ambayo
imenunuliwa na kampuni ya Tanganyika Wildlife Safari ilikabidhwa kwa
Waziri Nyalandu kwaajili ya kufuatilia majangili kwenye hifadhi za
taifa.
Waziri wa Maliasili na Utalii,
Lazari Nyalandu (kushoto), akikabidhiwa ndege aina ya Micro Light
Nyinja, 5H-HEL, na Mwenyekiti wa Kampuni ya Utalii ya Tanganyika
Wildlife Safari, Eric Pasanisi, wengine ni Askari wa kikosi cha
wanyamapori walio hudhuria makabidhiano hayo.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazari Nyalandu akiwa na Mwenyekiti wa Kampuni ya Utalii ya Tanganyika Wildlife Safari, Eric Pasanisi
Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazari Nyalandu akiwa na Mwenyekiti
wa Kampuni ya Utalii ya Tanganyika Wildlife Safari, Eric Pasanisi
pamoja na Askari wa kikosi cha wanyamapori walio hudhuria makabidhiano
hayo. wakiwa katika picha ya pamoja.
EmoticonEmoticon