| Baadhi ya wananchama wa Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinuzi (UVCCM) wakiwa katika kikao kilichochanyika Jimbo la Vunjo. |
| Baadhi ya wajumbe wa Jumuiya hiyo. |
| Mwenyekiti mstaafu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro,Godliving Mushi akizungumza katika kikao hicho. |
| Kaimu katibu wa Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Kilimanjaro Joel Makwaia akizungumza jambo katika kikao hicho. |
| Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana (UVCCM) mkoa wa Kilimanjaro Fredrick Mushi akizungumza katika kikao hicho , |
EmoticonEmoticon