Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiweka chakula alichowaandalia Askari wa Vikosi vya Ulinzi Zanzibar
vilivyoshiriki katika sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar hafla hiyo ilifanyika jana katika kambi ya JWTZ
Migombani Wilaya ya Magharibi Unguja (kulia) Mkuu wa Kikosi cha 101 Kj
Zanzibar Brigedia Generali.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali waliolikwa katika chakula kilichowaandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa Askari
wa Vikosi vya Ulinzi Zanzibar vilivyoshiriki katika sherehe za
maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla hiyo
ilifanyika jana katika kambi ya JWTZ Migombani Wilaya ya Magharibi
Unguja.
Kamishna wa Kikosi cha Zima Moto Zanzibar Ali Abdalla Maalim Ussi akiagana na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
baada ya kumalizika hafla ya chakula cha mchana kwa Askari vikosi vya
Ulinzi vilivyoshiriki
katika sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar haflailiyofanyika kambi ya JWTZ Migombani Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja,
Makamanda wa vikosi mbali mbali vya Ulinzi Zanzibar wakiwa katika sherehe ya Chakulacha mchana
kilichoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein kwa vikosi hivyo
vilivyoshiriki katika sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla hiyo ilifanyika jana katika kambi ya JWTZ Migombani Wilaya ya Magharibi Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifuatana na Mkuu wa Kikosi cha JWTZ 101 Kj Zanzibar Brigedia Generali Muhaiki baada ya kumalizika kwa hafla ya chakula kilichoandaliwa kwa Askari
wa Vikosi vya Ulinzi Zanzibar vilivyoshiriki katika sherehe za
maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar jana katika
kambi ya JWTZ Migombani Wilaya ya Magharibi Unguja.
Baadhi
ya Vijana walioshiriki katika halaiki ya maadhimisho ya Sherehe za
Miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar wakichukua Chakula katika
hafla ya iliyoandaliwa kwa ajili yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Salama
Bwawani Mjini Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) mara alipowasili katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo katika
sherehe za hafla ya chakula maalum kwa Vijana walioshiriki Halaiki ya
sherehe za Maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,
Baadhi ya Vijana walioshiriki Halaiki ya sherehe za Maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar wakiwa katika hafla ya chakula maalum iliyoandaliwa kwa ajili yao na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo
Hawa ni
miongoni mwa Vijana walioshiriki katika halaiki ya maadhimisho ya
Sherehe za Miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar wakiwa katika
hafla ya chakula kilichondaliwa kwa ajili yao na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja leo
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitia chakula wakati wa hafla maalum ya chakula aliyowaandalia Vijana
walioshiriki katika Halaiki ya sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar iliyofanyika leo katika ukumbi wa Salama
Bwawani Mjini Unguja,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akiagana na Viongozi waliohudhuria katika hafla ya chakula
kilichoandaliwa kwa Vijana walioshiriki Halaiki katika Sherehe za
maadhimisho ya miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar hafla hiyo
ilifanyika leo katika ukumbi wa Salama Bwawani Mjini Unguja.
[Picha na Ikulu.]
EmoticonEmoticon