PROF.JUMANNE MAGHEMBE: SERIKALI IMEVALIA NJUGA TATIZO LA UKOSEFU WA MAJI NCHINI

March 30, 2015

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Mbunge wa jimbo la Mwanga na Waziri wa Maji  Mh. Prof. Jumanne Maghembe mara baada ya kuwasili katika kata ya Kileo jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro wakati alipoanza ziara ya kikazi ya jimboni humo akikagua na kuhimiza ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2010 inayotekelezwa na serikali, Katika ziara hiyo Kinana anaongozana na Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Taifa CCM.
Wananchi wa Kijiji cha Kivulini wakitafakari jinsi ya kukwamua pikipiki yao ambayo ilikwama kwenye moja ya mifereji yenye tope katika skimu hiyo ya umwagiliaji. 8 
Nape Nnauye akijaribu kuendesha Skaveta mtambo wa kuvunia mpunga katika kijiji cha Kivulini wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro. 9 
Baadhi ya wananchi waliojitokeza  kumpokea Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati akiwasili katika kijiji cha Mangara Lembeni wilayani Mwanga. 11 
Baadhi ya wananchi waliojitokeza katika mkutano huo. 16 
N
ape Nnauye akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara kijiji cha Mwaniko Ugweno wilayani Mwanga. 19 
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi katika mkutano huo  uliofanyika kijiji cha Mwaniko Ugweno wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »