Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiongoza kikao siku moja cha Wizara ya Afya kilichozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni,[Picha na Ikulu.]
Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Afya na Idara zake mbali mbali wakimsikiliza Waziri wa Wizara hiyo Rashid Seif Suleiman (hayupo pichani) alipokuwa akitoa taarifa ya Wizara ya utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo asubuhi chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,,[Picha na Ikulu.]
Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo (kulia) akiwa pamoja na watendaji mbali mbali wakimsikiliza Waziri Rashid Seif Suleiman (hayupo pichani) alipokuwa akitoa taarifa ya Wizara ya utekelezaji wa mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni mbele ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiongoza kikao cha Wizara ya Afya kilichozungumzia utekelezaji mpango kazi wa Wizara ya hiyo kwa kipindi cha mwezi Julai-Disemba 2014 katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo jioni ,[Picha na Ikulu.
EmoticonEmoticon