Mwenyekiti
wa muda wa Chama cha Bloggers Tanzania (TBN), Joachim Mushi (kulia)
akikabidhi ubani wa fedha shilingi laki tano (500,000) jana zilizotolewa
kwa mwanahabari wa Kitulo FM kama pole baada ya kupoteza ndugu watano
wa familia moja katika ajali ya moto iliyotokea hivi karibuni na kuua
watu sita eneo la Kipunguni jijini Dar es Salaam. Katikati ni mmoja wa
wajumbe wa TBN, Dotto Mwaibale aliyeshiriki tukio hilo. TBN ilishiriki
katika mazishi ya marehemu hao sita waliozikwa jana katika makaburi ya
Airwing Dar es Salaam. Picha na Francis Dande. |
EmoticonEmoticon