Mke
wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi wa Wilaya
ya Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akisalimiana na viongozi wa CCM Kata
ya Mikumbi iliyoko Mjini Lindi wakati alipowasili kwenye eneo hilo kwa
ajili ya kufanya mkutano wa ndani na viongozi hao tarehe 11.12.2014.
Anayemtambulisha kwa wajumbe hao ni Mwenyekiti wa CCM wa Kata ya Mikumbi
Bwana Bakari Seif Mikojo.
Mjumbe
wa NEC Taifa ya CCM anayewakilisha Wilaya ya Lindi Mjini na Mke wa Rais
Mama Salma Kikwete akizungumza na viongozi wa chama wa Kata ya Mikumbi
katika mkutano wa ndani wa Chama hicho kuhusiana na uchaguzi wa serikali
za mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini tarehe 14.12.2014.

wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama Cha Mapinduzi wa Wilaya ya Lindi
Mjini na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akisalimiana na uongozi wa Chama
wa Kata ya Ndoro iliyoko Lindi Mjini mara baada ya kuwasili katani hapo
kwa lengo za kuzungumza na viongozi wa kata hiyo kuhusiana na uchaguzi
wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 14.12.2014.
Anayetambulisha ni Mwenyekiti wa CCM wa Kata hiyo Ndugu Saleh Ahmed
Saleh.
Mjumbe
wa NEC Taifa ya CCM na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishirikiana na
viongozi wa CCM wa Kata ya Ndaro kuunga mkono muundo wa serikali mbili
unaopendekezwa na Rasimu ya Katiba.
Mjumbe
wa NEC Taifa ya CCM na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akishirikiana na
viongozi wa CCM wa Kata ya Ndaro kuunga mkono muundo wa serikali mbili
unaopendekezwa na Rasimu ya Katiba.
Mjumbe
wa NEC Taifa ya Chama Cha Mapinduzi na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete
akizungumza na uongozi wa Kata ya Ndaro katika mkutano wa ndani
kuhusiana na uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini
tarehe 14.12.2014.
Mjumbe wa NEC Taifa ya CCM anayewakilisha Wilaya ya Lindi Mjini na Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete akiwatambulisha na kuwaombea kura wagombea
uenyekiti wa serikali za mitaa wa Kata ya Ndaro kwa wajumbe wa mkutano.
Mama Salma yuko Wilayani Lindi Mjini kuhamasisha wananchi kukipigia kura
Chama Cha Mapinduzi katika uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa
kufanyika tarehe 14.12.2014.
Mjumbe
wa NEC Taifa ya Chama Cha Mapinduzi wa Wilaya ya Lindi Mjini na Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kata ya Mbanja kwenye
mkutano wa kampeni uliofanyika katika tawi la Mto Mkavu katika wilaya ya
Lindi Mjini tarehe 11.12.2014. PICHA NA JOHN LUKUWI
EmoticonEmoticon