DC GAMBO AFUNGUA KITUO CHA AFYA KILICHOJENGWA NA HIFADHI YA TAIFA YA MKOMAZI

December 12, 2014


 Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo akifungua kituo cha Afya kijiji cha  Kalalani kata ya Kigwase Wilayani humo kilichojengwa na Hifadhi ya Taifa ya Taifa ya  Mkomazi kilichogharimu zaidi ya shilingi milioni 97 kati ya pesa hizo wananchi wamechangia milioni 19.

 Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Mrisho Gambo akipima afya mara baada ya kufungua kituo cha Afya kijiji cha Kalalani kata ya Kigwase kilichojengwa na Hifadhi ya Taifa ya Mkoazi na hadi kukamilika kwake kiligharimu zaidi ya shilingi milioni 97 kati ya pesa hizo wananchi wamechangia milioni 19

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »