Wakuu
wa Mikoa Bara na Visiwani wakiwa katika ugungaji wa semina yao ya siku
taku iliyozungumzia Mahusiano na Mwingiliano katika siasa na Utendaji
kwa Wakuu wa Mikoa,Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa ya Zanzibar na Baadhi
ya Tanzania bara iliyofungwa jana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheri katika
Ukumbi wa Sea Cliff Kama nje ya Mji wa Unguja,(Na Mpiga Picha Maalum)Baadhi
ya Wakuu wa Mikoa Bara na Visiwani wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi
ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheri
akitoa hutuba yake ya ufungaji wa Semina ya siku tatu kuhusu Mahusiano
na Mwingiliano katika siasa na Utendaji kwa Wakuu wa
Mikoa,Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa ya Zanzibar na Baadhi ya Tanzania
bara ufungaji huo ilifanyika jana Ukumbi wa Sea Cliff Kama nje ya Mji
wa Unguja,(Na Mpiga Picha Maalum)Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe,Haji
Omar Kheri akitoa hutuba yake ya ufungaji wa Semina ya siku tatu kwa
Wakuu wa Mikoa,Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa ya Zanzibar na Baadhi ya
Tanzania Bara iliyohusu Mahusiano na Mwingiliano katika siasa na
Utendaji katika Ukumbi wa Sea Cliff Kama nje ya Mji wa Unguja,(Na
Mpiga Picha Maalum)
Wakuu
wa Wilaya za Unguja na Pemba wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais Tawala za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheri
alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufungaji wa Semina ya siku tatu kwa
Wakuu wa Mikoa,Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa ya Zanzibar na Baadhi ya
Tanzania Bara iliyohusu Mahusiano na Mwingiliano katika siasa na
Utendaji katika Ukumbi wa Sea Cliff Kama nje ya Mji wa Unguja jana,(Na
Mpiga Picha Maalum)Picha
ya pamoja iliyowahusisha washiriki wa Semina ya siku tatu ya kwa Wakuu
wa Mikoa,Wilaya,Makatibu Tawala wa Mikoa ya Zanzibar na Baadhi ya
Tanzania Barabaada ya kufungwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala
za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheri katikat, (Na Mpiga
Picha Maalum)Picha
ya pamoja iliyowahusisha washiriki wa Semina ya siku tatu ya kwa
Maafisa Tawala Mikoa na Wilaya za Mikoa ya Zanzibar na Baadhi ya
Tanzania Bara baada ya kufungwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala
za Mikoa na Idara Maalum za SMZ Mhe,Haji Omar Kheri katikati, (Na
Mpiga Picha Maalum)
EmoticonEmoticon