RAIS KIKWETE AENDELEA KUIMARIKA AANZA KAZI NYEPESI

November 11, 2014

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiendelea na kazi ndogo ndogo wakati akiendelea kupata matibabu katika Hospitali ya Johns Hopkins huko Baltimore Maryland nchini Marekani leo. 
Rais jakaya Kikwete akizungumza na daktari wake. Picha na Fredy Maro

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »