Kutoka
kushoto ni Josephat Lukaza wa Lukaza Blog, Shamimu Mwasha wa
8020Fashion na Geofrey Wapamoja Blog wakiwa katika mkutano huo
Baadhi maofisa wa TCRAwakifuatilia mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa katika mkutano huo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Mawasiliano Nchini Tanzania TCRA Profesa John Nkoma katikati
Mkurugenzi wa Utangazaji TCRA Habbi Gunze ma Aron Msigwa Ofisa
Mwandamizi kutoka Idara ya Habari Maelezo wakiwa katika mkutano huo.
Andrew Kisaka Ofisa Mwanamizi wa Utangazaji TCRA akitoa mada katikamkutano huo.
EmoticonEmoticon