Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimpokea na kumkaribisha Balozi wa Qatar aliyemaliza muda wake nchini
Tanzania, Mhe. Jassin Mohamed Mubarak Al-Darwish, wakati alipofika
Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Novemba 5, 2014 kwa ajili
ya kumuaga baada ya kumaliza muda wake wa uwakilishi wa nchini yake
nchini. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Balozi wa Qatar aliyemaliza muda wake nchini Tanzania,
Mhe. Jassin Mohamed Mubarak Al-Darwish, wakati alipofika Ofisini kwake
Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Novemba 5, 2014 kwa ajili ya kumuaga
baada ya kumaliza muda wake wa uwakilishi wa nchini yake nchini. Picha
na OMR
EmoticonEmoticon