KAMPUNI YA USAFIRISHAJI YA SATELITE YAIPIGA TAFU SHULE YA SEKONDARI CHIEF MANG'ENYA WAMWAGA MABATI 90 KWA AJILI YA UJENZI WA MAABARA

November 08, 2014


KAIMU MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA USAFIRISHAJI YA SATELITE,ABDALLAH MOHAMED SEIF KUSHOTO AKISAINI KITABU CHA WAGENI MARA BAADA YA KUFIKA KWENYE OFISI YA MKUU WA WILAYA YA MUHEZA AMBAPO WALIKABIDHI MABATI 90 YENYE THAMANI YA SH.MILIONI 2 KWA AJILI YA KUCHANGIA UJENZI WA MAABARA KWENYE SHULE YA SEKONDARI CHIEF MANG'ENYA WILAYANI HUMO KATIKATI NI MKUU WA WILAYA YA MUHEZA SUBIRA MGALU NA KULIA NI MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MUHEZA,AMIRI KIROBOTO

MDAU WA MAENDELEO WILAYANI MUHEZA MKOANI TANGA,WILLIAM MNGAZIJA AKISAINI KITABU CHA WAGENI MARA BAADA YA KUWASILI OFISI YA MKUU WA WILAYA YA MUHEZA LEO


KAIMU MKURUGENZI MTENDAJI WA KAMPUNI YA USAFIRISHAJI YA SATELITE,ABDALLAH MOHAMED SEIF WA PILI KUTOKA KULIA AKIMKABIDHI MKUU WA WILAYA YA MUHEZA,SUBIRA MGALU KUSHOTO MABATI YALIYOTOLEWA NA KAMPUNI HIYO YAPATAO 90 YENYE THAMANI YA SH.MILIONI 2 WALIYOYATOA KWENYE SHULE YA SEKONDARI CHIEF MANG'ENYA ILI KUCHANGIA UJENZI WA MAABARA KWENYE SHULE HIYO WA KWANZA KULIA NI MWENYEKITI WA HALMASHAURI HIYO,AMIRI KIROBOTO NA KUSHOTO NI DIWANI WA KATA YA GENGE


MKUU WA WILAYA YA MUHEZA,SUBIRA MGALU AKIISHUKURU KAMPUNI YA USAFIRISHAJI YA SATELITE KWA KUCHANGIA UJENZI WA MAABARA KWENYE SHULE YA SEKONDARI CHIEFU MANG'ENYA MARA BAADA YA KUPOKEA MABATI 90 YALIYTOLEWA KAMPUNI HIYO WA TATU KUSHOTO ALIYEVAA KIBARAKASHEE NI NI KAIMU MKURUGENZI MKUU WA KAMPUNI YA USAFIRISHAJI YA SATELITE
 ABDALLAH  MOHAMED SEIF.

WA KWANZA KULIA NI MKUU WA WILAYA YA MUHEZA SUBIRA MGALU KATIKATI NI MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA MUHEZA,AMIRI KIROBOTO NA KUSHOTO NI MDAU WA MAENDELEO WILAYANI MUHEZA AMBAYE PIA NI MWANDISHI WA ITV NA RADIO MKOANI TANGA WILLIAM MNGAZIJA


Share this

Related Posts

Previous
Next Post »