Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli,
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Mussa Iyombe pamoja na Makamu
mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu akikata utepe
kuashiria uzinduzi rasmi wa barabara ya Dumila-Rudewa yenye urefu wa
Kilomita 45 iliyojengwa kwa kiwango cha lami.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete akiwa na Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akifungua jiwe la msingi kuashiria ufunguzi rasmi wa barabara ya
Dumila-Rudewa yenye urefu wa Kilomita 45 iliyojengwa kwa kiwango cha
lami.
Sehemu ya barabara ya Dumila-Rudewa yenye urefu wa Kilomita 45 iliyojengwa kwa kiwango cha lami.
Waziri
wa Ujenzi Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na baadhi ya
Watendaji kutoka Wizara ya Ujenzi ambao walikuwa wakisubiri tukio la
ufunguzi wa barabara ya Dumila-Rudewa yenye urefu wa Kilomita 45
uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.
Jakaya Mrisho Kikwete
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Mhandisi Mussa Iyombe kushoto akiwa pamoja na
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini TANROADS Mhandisi Patrick
Mfugale wakitazama ramani pamoja na picha mbalimbali za barabara ya
Dumila-Rudewa yenye urefu wa Kilomita 45 iliyojengwa kwa kiwango cha
lami.
Mc
Mavunde kulia akiwatambulisha watendaji mbalimbali kutoka Wizara ya
ujenzi kabla ya Ufunguzi rasmi wa barabara ya Dumila-Rudewa
Sehemu
ya wakazi wa Dumila waliojitokeza kwa wingi wakimsikiliza Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
licha ya giza kuingia mjini Dumila.
EmoticonEmoticon