Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na viongozi wa mkoa baada ya
kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma kwa ajili ya kikao cha
Bunge Maalum la Katiba akitoka Dar es Salaam, Aprili 23, 2014. Kulia ni
Mkuu wa Mkoa huo, Dk. Rehema Nchimba (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
EmoticonEmoticon