Meneja Uhusiano Airtel Tanzania
Jackson Mmbando akiongea kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius mara ya
kupokea timu ya Airtel Rising Stars kutoka Sierra Leone ambao watahudhuria
kliniki ya soka ya kimataifa ya Manchester United itayoanza Jumatano, 23-27
kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.
Mchezaji Fatmata Mansaray wa timu
ya Airtel Rising Stars chini ya miaka 17
kutoka Sierra Leone, akiongea na waandishi wa habari baada ya kufika Dar es
Salaam kuhudhuria kliniki ya soka ya kimataifa ya Manchester United itayoanza
Jumatano, 23-27 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.

Wachezaji wa Airel Rising Stars
kutoka Sierra Leone wakiwasili kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere
kuhudhuria kliniki ya soka ya kimataifa ya Manchester United itayoanza
Jumatano, 23-27 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam.
EmoticonEmoticon