Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akifungua
pazia kuashiria kuzindua rasmi Kongamano la 28 la Mwaka la Taasisi ya Taifa ya
Utafiti wa Tiba (NIMR), lililofanyika
kwenye Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam. Kongamano hilo limeandaliwa
na Taasisi hiyo ya (NIMR). Kutoka (kushoto) ni Mkurugenzi wa NIMR, Dkt. Mwele
Malecela, Naibu Waziri wa Afya, Kabwe Steven na Mwenyekiti wa Baraza la NIMR,
Samwel Masele.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akikata
utepe kuashiri kuzindua Mpango wa Mkakati wa Nne wa Utafiti Bora wa Afya,
wakati wa ufunguzi wa Kongamano la 28 la Mwaka la Taasisi ya Taifa ya Utafiti
wa Tiba (NIMR), lililofanyika kwenye
Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam. Kongamano hilo limeandaliwa na
Taasisi hiyo ya (NIMR). Kushoto ni Mkurugenzi wa NIMR, Dkt. Mwele Malecela
(katikati) ni Mwenyekiti wa Baraza la NIMR, Samwel Masele.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Tuzo ya Mwanasayansi Bora wa mwaka wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti NIMRI,
Steven Magesa, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la 28 la Mwaka la Taasisi ya
Taifa ya Utafiti wa Tiba (NIMR). Lililofanyika jijini Dar es Salaam, leo Aprili
22, 2014. Katikati ni Mwenyekiti wa Baraza la NIMR, Samwel Masele.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi Tuzo ya Mwanasayansi Bora wa mwaka wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti NIMRI,
Prof. Wenceslaus Kilama, wakati wa ufunguzi wa Kongamano la 28 la Mwaka la
Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Tiba (NIMR). Lililofanyika jijini Dar es Salaam,
leo Aprili 22, 2014. Katikati ni Mwenyekiti wa Baraza la NIMR, Samwel Masele.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa
katika picha ya pamoja na wanasayansi waliopata tuzo bora za mwaka za
wanasayansi wa mwaka wa NIMR, baada ya kukabidhiwa.
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati akizindua rasmi Kongamano la 28 la Mwaka la Taasisi ya
Taifa ya Utafiti wa Tiba (NIMR). Kongamano hilo lililofanyika kwenye
Ukumbi wa Mwalimu Nyerere, jijini Dar es Salaam, limeandaliwa na Taasisi
hiyo ya (NIMR).
Makamu
wa Rais Dkt. Bilal, akiwa na baadhi ya viongozi wa Kongamano hilo.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo.
Baadhi ya washiriki wa Kongamano hilo.
Wasanii
wa THT, wakitoa burudani wakati wa ufunguzi huo.
ya
pamoja na washiriki wa Kongamano hilo.
EmoticonEmoticon