Baada
ya David Moyes kufukuzwa kazi katika klabu ya Manchester United habari
kubwa inayosubiriwa kwa hamu ni kocha gani atakekuja Old Trafford msimu
ujao kuziba nafasi iliyoachwa wazi na David Moyes.
Majina mengi yanatajwa lakini majina ya kocha wa Uholanzi anayemaliza muda baada ya fainali za kombe la dunia Louis Van Gaal, Ryan Giggs, Jurgen Klopp, Laurent Blanc, Diego Simeone, Robert Martinez na Carlos Quieroz.
JE KATI YA HAWA UNADHANI NI NANI ANASTAHILI KURITHI MIKOBA YA MOYES

-
Louis van Gaal
-
Jurgen Klopp
-
Ryan Giggs
-
Laurent Blanc
-
Diego Simeone
-
Roberto Martinez
-
Carlos Quieroz
EmoticonEmoticon