SHEREHE ZA KUIPONGEZA MBEYA CITY JANA MJINI MBEYA DOWNTOWN ONA HAPA LIVE!!

April 20, 2014

 Wachezaji wa Timu ya Mbeya City Fc wakiwa wanaingia ukumbini 

Meza Kuu wakipiga makofi wakati wakiipokea Timu ya Mbeya City Fc
 Timu nzima ya Mbeya City Fc wakiwa wameketi pamoja na kocha Mkuu na Mganga wa timu hiyo
 Meza kuu 
 Kocha Msaidizi Maka Mwalwisi  kushoto akiwa na Kocha Mkuu Mwambusi
 Baadhi ya waheshimiwa Madiwani pamoja na wadau wa Mbeya city Fc wakiwa wanafuatilia Sherehe
 Afisa Habari wa Mbeya City Fc Fredy Jackson  akiendelea Kusherehesha
 Mwenyekiti wa Bodi ya Michezo Mbeya City Fc Mussa Mapunda  akielezea Historia Fupi ya Mbeya City Fc ilipotokea
 Kocha Mkuu wa Mbeya City Fc Mussa Mwambusi akiwashukuru wadau kwa kuwatia Moyo mpaka hapa walipofika kuchukua ushindi wa nafasi ya Tatu katika Ligi kuu Tanzania Bara
 Mchezaji wa Mbeya City Fc   John Kabanda akipokea zawadi yake
 Kocha Mkuu wa Mbeya City Fc Mussa Mwambusi akikabidhiwa Zawadi yake
 Golikipa namba moja wa Mbeya City Fc David Buruani akichukua zawadi yake

Mchezaji wa Mbeya City Fc Yussuph Abdalah  akipokea zawadi yake
 Meya wa Jiji la Mbeya Mh. Athanas Kapunga akizungumza jambo wakati wa Sherehe za Kuwapongeza Mbeya City Fc
 Katibu Tawala wa Mkoa (RASS) Mh. Mariam Mtunguja akitoa Hotuba yake wakati wa sherehe ya Kuipongeza timu ya Mbeya City Fc

 Wadau wa Mbeya City Fc
 Aliyesimama mbele kulia ni mmoja ya wadau wakubwa wa Mbeya City Fc Bw. Balosi Bayona
 katibu wa Timu ya Mbeya city Fc Emanuel Kimbe  akizungumza Jambo
 Waandishi wa Habari wakiwa kazini
 Baadhi ya Wadau wa Mbeya City Fc pamoja na waandishi wa Habari
Picha na Mbeya yetu

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »