*RIDHIWANI ALIPORINDIMA PERA
Mke wa Ridhiwani Kikwete ,Arafa akimuombea kura mumewe kwa wananchi wa kata ya Pera
Mwigulu Nchemba akimnadi mgombea wa ubunge wa CCM Jimbo la Chalinze Ndugu Ridhiwani Kikwete.
Ridhiwani
Kikwete akihutbia wakazi wa kata ya Pera kwenye mkutano mkubwa wa
hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya michezo vya Pera shuleni na
kuwahakikishia wananchi wa jimbo la Chalinze kuwa atakuwa Mbunge wa
Vitendo zaidi na kushirikiana nao katika kuleta maendeleo ya Jimbo.
Wananchi wa Kata ya Pera wakimsikiliza mgombea wa ubunge wa CCM Ndugu Ridhiwani Kikwete.
:
Naibu
Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Ndugu Mwigulu Nchema akihutubia wakazi wa
Pera na kuwaambia wapinzani wao wanajua kubisha hata kwenye jambo
lisilohitaji ubishi hivyo kusababisha kupoteza muda wa kujadili masuala
ya msingi.
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wananchi wa Pera na
kuwaambia mwisho wa wapinzani Chalinze ni tarehe 6 siku ya kupiga kura.
Mwenyekiti
wa CCM Wilaya ya Kinondoni Ndugu Salum Madenge akihutubia wakazi wa
Pera ,Chalinze wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye viwanja
vya michezo Pera Shuleni.
Kila mwenye uwezo wa kucheza alicheza.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Ndugu Sixtus Mapunda akicheza na Vijana wa CCM linalofahamika kama Tanga All Stars.
EmoticonEmoticon