Mbunge wa Kyela Dr. Mwakyembe akikagua Barabara iendayo Bandari ya Kiwira Muda huu
Baadhi ya watu wakigangaika kupita juu ya maji hayo yaliyotokana na Mafuriko
Baadhi ya watu mbalimbali wakiwa wanashuhudia Mafuriko hayo muda huu
Picha kwa Hisani ya Kaka yetu mdau Mkubwa wa Mbeya yetu Blog Felix Mwakyembe
Na Mbeya yetu
EmoticonEmoticon