Chipukizi wa Mkoa wa Tanga wakimkaribisha kwa maua Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete muda mfupi baada ya kuwasili katika tarafa ya Mkata, wilayani Handeni mkoa wa Tanga, Rais Kikwete yupo Mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi |
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza mmoja wa wafugaji mwenye asili ya
kimasai bwana Shayo Lahoda aliyegawiwa dume bora la ng’ombe katika
kijiji cha Msomela wilayani handeni jana
.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizindua Bwawa la Maji la Mkata wiklayni Handeni jana
.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na ngoma za utamaduni baada ya kuzindua Bwawa la Maji la Mkata wiklayni Handeni jana
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikagua Bwawa la maji la Mkata muda mfupi
baada ya kulizindua huko Mkata wilayani Handeni Mkoa wa Tanga jana
asubuhi.Rais Kikwete yupo Mkoani Tanga kwa ziara ya kikazi kukagua na
kuzindua miradi ya maendeleo.
Picha na Freddy Maro wa Ikulu
Picha na Freddy Maro wa Ikulu
EmoticonEmoticon