March 24, 2014

WAZIRI MKUU NA MATUKIO BUNGE LA KATIBA DODOMA LEO

PG4A3943Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samuel Sitta (kushoto) akimkabidhi vitendea kazi Spika wa Bunge  la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda   baada ya kumwapisha kuwa mjumbe wa Bunge hilo, Bungeni Mjini Dodoma Machi 24, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) PG4A3974 
Wajumbe  wa Bunge Maalum la Katiba, January Makamba (kushoto) na Ismail Jusa Ladhu wakitoka kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Machi 24, 2014 baada ya Bunge kuahirishwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) PG4A4002 
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wanachuo wa Chuo cha Nyuki cha Tabora waliotembelea Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma Machi 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »