YANGA WAIFUNGA WAKOMORO BAP0 7-0

February 08, 2014
 Kocha wa Makipa Juma Pondamali, akiwafua makipa Deogratius Munishi na Juma Kaseja, wakati wa kupasha misuri moto. 

Timu zote hivi sasa zinaingia uwanjani tayari kabisa kwa kukaguliwa kuanza mtanange huo.

VIKOSI VINAVYOANZA
YANGA:- Juma Kaseja, Mbuyu Twite, Oscar Joshua, Nadir Haroub (c), Kelvin Yondani, Frank Domayo, Simon Msuva, Haruna Niyonzima, Hamis Kiiza, Mrisho Ngassa na David Luhende.

RIZEVU:- Deogratius Munishi, Rajab Zahir, Nizar Khalfan, Didier Kavumbagu, Juma Abdul, Hussein Javu, na Hassan Dilunga.

WACOMORO:- Attoumani Farid, Ali Mohamed, Nizar Amir, Abdou Moussoidikou, Ahamadi Houmadi Anli, Moidjie Ali, Mortadhoi Fayssoil, Attoumane Omar, Mohamed Erfeda (c), Mouayade Almansoor na Ahmed Waladi.
 Wachezaji wa Yanga wakiingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo baada ya kupasha misuri
 Wachezaji wa Comorro, wakiingia vyumbani....
Sehemu ya mashabiki.

Ngassa alipachika mabao matatu kati ya saba katika dakika za 13, 64 na 68. Bao la pili lilifungwa na Nadir Haroub, katika dakika ya 16, Didier Kavumbagu, dakika ya 57 na 80 na Hamis Kiiza, akifunga katika dakika ya 59.

cHANZO sUFIANO MAFOTO


Share this

Related Posts

Previous
Next Post »