PICHA ZA MATUKIO YA SHEREHE ZA UFUNGUZI WA TAWI LA CCM CHUO KIKUU ECKERNFORDE

January 19, 2014

KATIBU ITIKADI NA UENEZI WILAYA YA TANGA,LUPAKISYO KAPANGE AKIZUNGUMZA KATIKA SHEREHE ZA UFUNGUZI WA TAWI LA CHAMA CHA MAPINDUZI CHUO KIKUU CHA ECEKNFORDE JANA.

MWENYEKITI WA JUMUIYA YA UMOJA WA VIJANA CHAMA CHA MAPINDUZI WILAYA YA TANGA(UVCCM)SALIM PEREMBO AKISISITIZA JAMBO





WANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA ECKENFODRE WAKIMSIKILIZA KWA MAKINI MGENI RASMI KWENYE SHEREHE HIZO MNEC SALIM KISAUJI AMBAYE HAYUPO PICHANI.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »