WANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI WAPYA WA TAWI LA CHUO KIKUU ECKENFORDE WAKILA KIAPO JANA MARA BAADA YA KUKABIDHIWA KADI ZAO NA MJUMBE WA HALMASHAURI KUU CCM WILAYA YA TANGA,KASIM KISAUJI. |
MJUMBE WA HALMASHAURI KUU CCM WILAYA YA TANGA,SALIM KASIM KISAUJI AKISISITIZA JAMBO KWA WANACHAMA HAO WAPYA WA CHUO HICHO JANA . |
MNEC WA WILAYA YA TANGA,SALIM KISAUJI MWENYE KOFIA KATIKATI AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA VIONGOZI NA WANACHAMA WA CCM TAWI LA CHUO KIKUU CHA ECKENFORDE JANA. |
1 comentários:
Write comentáriosKIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
ReplyEmoticonEmoticon