Mbunge wa Jimbo la Vunjo, Dkt. Augustino Mrema akikagua wachezaji wa klabu ya Himo na Njia panda katika mechi ya uzinduzi wa Mrema Cup 2014, uliofanyika juzi katika viwanja vya Himo, wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro. Picha na Taifa Letu.com Blog
Mbunge
wa Jimbo la Vunjo, Dkt. Augustino Mrema akikabidhi jezi kwa viongozi wa
vilabu 15 vitakavyoshiriki mashindano ya Mrema Cup 2014, katika hafla
ya uzinduzi uliofanyika juzi katika uwanja wa Himo. Picha na Taifa Letu.com Blog

EmoticonEmoticon