Tundu Lisu kulia akisalimiana na Ofisa wa Polisi Mkoani Tanga ambaye alikuwa kwenye mkutano huo |
Tundu Lisu kushoto akimnadi Mgombea Udiwani kata ya Kiomoni Mwanaisha Omari jana |
Mwanasheria Mkuu wa Chadema,Tundu Lisu akiwahutubia mkutano wa hadhara kwenye kijiji cha Lwande Kata ya Kiomoni. |
Katibu wa Chadema Kanda ya Kaskazini,Amani Golugwa akiwahutubia wananchi wa Kijiji hicho jana. |
Tindu Lisu katika akilakiwa na viongozi wa Chadema mara baada ya kutua katika viwanja vya Kijiji cha Lwande kata ya Kiomoni |
EmoticonEmoticon