*RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA OFISI YA RAIS KAZI UTUMISHI WA UMMA

December 05, 2013
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,  (kulia) akizungumza na Uongozi wa Ofisi, Kazi na Utumishi wa Umma,katika kikao cha kujadili utekelezaji wa Mpango kazi wa Ofisi hiyo,wa mwaka wa fedha 2012-2013 na robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2013-2014,katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,(wa pili kulia)  Katibu Mkuu  Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahaya Mzee. 

 Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Ofisi ya Rais, Kazi,na Utumishi wa Umma,wakiwa katika cha kujadili utekelezaji wa Mpango kazi wa Ofisi  hiyo,wa mwaka wa fedha 2012-2013 na robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2013-2014,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.

 Waziri wa Ofisi ya Rais Kazi na Utumishi wa Umma,Haroun Ali Suleiman,(kushoto) akitoa taarifa ya utekelezaji wa  Mpango kazi wa Ofisi  hiyo,wa mwaka wa fedha 2012-2013 na robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2013-2014,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani) katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,(kulia) Katibu Mkuu  Kiongozi Dk.Abdulhamid Yahaya Mzee. Picha na Ramadhan Othman Ikulu.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »