MAANDAMANO MAKUBWA YA KUMPINGA DK. SLAA NA KUPINGA MAAMUZI YA KAMATI KUU YA CHADEMA YANAFANYIKA KIGOMA

December 07, 2013

Wanachama na wafuasi wa Chadema wakiandamana katika mitaa mbalimbali ya kigoma ili kupinga ziara ya Katibu Mkuu wa Chadema Dk. Slaa mkoani humo pamoja na kupinga maamuzi yanayofanywa na Kamati kuu ya Chadema. Maandamano hayo yanaendelea hivi sasa

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »