KWAHERI MADIBA [1918-2013

December 06, 2013

-nelson-mandela

Leo hii dunia nzima inaomboleza kifo cha Nelson Mandela “Madiba”.Mandela ambaye alizaliwa tarehe 18 Julai mwaka 1918  huko Mvezo, Afrika Kusini amefariki akiwa na miaka 95.
Tangazo la kifo cha Mandela lilitolewa rasmi jana usiku [kwa saa za Afrika Kusini] na Rais wa nchi hiyo, Jacob Zuma akisema;
“Our nation has lost its greatest son. Our people have lost a father. Although we knew that this day would come, nothing can diminish our sense of a profound and enduring loss, His tireless struggle for freedom earned him the respect of the world. His humility, his compassion and his humanity earned him their love”
 TANGA RAHA inaungana na watu wote duniani katika kuomboleza msiba huu mkubwa. Mandela alikuwa na atabia kuwa ishara au alama ya ushujaa, amani,demokrasia na utumishi wa umma uliotukuka.Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »