*KIDUMU ATUA NCHINI KUWASHA MOTO CLUB E LEO

December 06, 2013

Msanii kutoka nchini Burundi, Jean Pierre “Kidum” akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julias Nyerere jana usiku kuja kutumbuiza katika Shererhe ya Kampuni ya Sigara Tanzania(TCC) “CLUB E” inayotarajiwa kufanyika leo katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Msanii kutoka nchini Burundi, Jean Pierre “Kidum”(kulia) akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julias Nyerere jana usiku kuja kutumbuiza katika Shererhe ya Kampuni ya Sigara Tanzania(TCC) “CLUB E” inayotarajiwa kufanyika leo katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. Kushoto ni mwenyeji wake, Ather.
Msanii kutoka nchini Burundi, Jean Pierre “Kidum” (katikati) akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julias Nyerere jana usiku na waimbaji wake kuja kutumbuiza katika Shererhe ya Kampuni ya Sigara Tanzania(TCC) “CLUB E” inayotarajiwa kufanyika leo katika Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam.

Share this

Related Posts

Previous
Next Post »