PICHA ZA MATUKIO YA MAFUNZO YA WASICHANA WAELIMISHAJI RIKA MKOA WA TANGA LEO

October 10, 2013
NAIBU Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto ,Ummy Mwalimu akisisitiza jambo wakati akifungua mafunzo ya wasichana waelimishaji rika mkoa wa Tanga yaliyohusisha wasichana wapatao 150 kutoka wilaya za Muheza,Lushoto, Pangani,Mkinga na Tanga yenye lengo la kuwajengea uwezo na  kuratibiwa na shirika lisilo la kiserikali la maendeleo ya wanawake (TAWODE).


Mkurugenzi Mtendaji wa TAWODE ,Fatuma Hamza Mganga akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo.

Washiriki wakipiga makofi mara baada ya mgeni rasmi kuingia ukumbini kabla ya kufungua mafunzo hayo.


Picha ni Naibu Waziri Ummy Mwalimu akiwa na baadhi ya washiriki wa mafunzo hayo





Share this

Related Posts

Previous
Next Post »